Natafuta MKE wa kufunga nae Ndoa

Natafuta MKE wa kufunga nae Ndoa

Manie

Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
17
Reaction score
2
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 46,ninatafuta mwanamke wa kufunga nae ndoa,sina ubaguzi wowote ule na nipo Serious juu ya suala ili,yule mwanamke aliyekuwa tayari kuingia ktk maisha ya Ndoa tafadhali tuwasiliane kwa 0718 98 97 65 au PM tafadhali.KARIBU
 
ndoa tutafunga lini mchumba?
make nimechoka kudanganywa, moyo wangu umechoka wallah...
 
subiri wahusika waje. naona wa kwanza tayari ameishajitokeza. mtafungia ndoa kanisani au msikitini? na ukumbi wa harusi umeishalipia au mpaka umpate mhusika kwanza?
 
Weka CV yako inayoonyesha maisha yako kwa ujumla, usiache kueleza Dini yako, Kabila lako, kama una nyumba, umepanga, au uko kwa wazazi wako na unaishi mkoa na wilaya gani. Hizo ni kwa kuanzia baada ya hapo mawasiliano yatafuata. Siwezi kukuunganisha na dada yangu kabla ya kupata hizo sifa. Kutokana na umri wako inaonekana umechelewa kiasi kama unawatoto umeshazaa ueleze kabisa au kama ulishaoa mkeo akakutoka ueleze amekufa kwa ugonjwa gani na kama amekuacha ueleze tuu usione haya.
 
subiri wahusika waje. naona wa kwanza tayari ameishajitokeza. mtafungia ndoa kanisani au msikitini? na ukumbi wa harusi umeishalipia au mpaka umpate mhusika kwanza?

acha maswali mengi....subiri tukupe kadi utajua!!!!
 
wewe sema unatafuta mke full stop.

Hiyo ya kufunga ne ndoa ni dalili za uongo,kwani maana ya mke ni mliyefunga naye ndoa.
 
wewe sema unatafuta mke full stop.

Hiyo ya kufunga ne ndoa ni dalili za uongo,kwani maana ya mke ni mliyefunga naye ndoa.

jamani njoo kwangu hubby mbona ushapata mke tayari, karibu darling:cool2:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom