Natafuta mke wa kuanza naye maisha

Picha tu huyo..huyo dogo barnaba mimi nikisimama nae ananifikia kiunoni..yani anaonekana ni mdogo wangu wa mwisho
Uongo mweupe sana huu. Mwaka huu sherehe za kuukaribisha mwaka mpya AIM mall nilimuona, huna urefu wa Barnaba akufikie kiunoni na si ajabu mnaweza kuwa sawa sawa tu.
 
Usije ukamtumia mtoto wa watu ukakimbia mzee...

Kama kuna uwezekano tafuta mwanamke asiye na mtoto. Inahitajika busara kubwa saana kuishi na mwenza ambaye tayari ana mtoto na mwanaume/ke mwingine.
Ahsante kwa ushauri
 
Shukrani mkuu. Kila ushauri hapa utazingatiwa.
 
Mungu akupe hitaji la moyo wako kaka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…