Natafuta mke' ushauri kuhusu ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mke' ushauri kuhusu ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jackson kanene, Apr 11, 2012.

 1. j

  jackson kanene Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mm ni kijana wa miaka 28 ni nayo kazi inayoniwezesha kuishi na kuweza kumhudumia m2 mwingine tatizo ni kuwa nahitaji kuoa xaxa but cjui nianzie wapi kwa xaxa coz kila nikihadithiwa masaibu ya ndoa napata shaka kuwa mmoja wao!bt kama unaweza nipa ushauri nitashukuru xana kwani utakuwa umenipa mwanga kijana mwenzio,tatizo ni kuwa cna wazazi i mean yatima naamin wangekuwepo ingekuwa chachu ya kuniongoza'mawasiliano yangu ni 0683127223 au 0754595688 plz mwenye kuguswa na hili naomba hata sms itatosha.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Huna hata wajomba au baba wadogo?
  Huna hata mentor wa kimaisha?

  Nimekustahi kwa kweli.

  Good luck na kutafuta mke mtandaoni.

  Ila jifunze kuandika vizuri.
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kijana....mimi nakushauri....ukitaka watu wakuone serious.....jitahidi kuwa serious.......utasaidika....
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Dogo, umri wako unashabihiana na ule wa Mar.Kanumba!
  Hongera sana kwanza kwa kuwa na wazo la kuoa...kwa umri wako uko sawa kabisa!
  Sasa dogo naamini kuna wadada kadha ambao ushakutana nao katika harakati za maisha, shuleni au chuoni, na huenda baadhi wana tabia njema...uwachunguze vizuri hao na mtafute mmoja wapo ule nae sahani moja kwa kumdokezea suala la kushi pamoja, wala hatakusumbua, maana kwa wadada hiyo ni dili!
  Ila usikurupuke, ongea na majirani zake na wazee wa hekima wakudokezee mienendo ya hao wadada ili upate atakayekufaa.
   
 5. j

  jackson kanene Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @kongosho, kuomba ushauri ni jambo lingine kabisa kama waweza mshauri m2 hicho pia ni kipaji kingine na yawezekana ushauri wako ukawa mzuri au mbaya kulingana na hitaji la mhusika,hao ndugu na jamaa wako mwanza ambapo ni mbali na eneo nilipo kwa xaxa kwani niko moro na huko home niliondoka 2002 tangu kifo cha mzazi aliyekuwa amebaki,usimlaumu m2 kwa kukuomba ushauri.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Jamani, tukubali mabadiliko....Hii ni enzi ya dot.com...kama sisi tumepitwa na wakati tuwaruhusu kizazicha facebook nao wafaudu uhuru wa kuongea.
   
 7. j

  jackson kanene Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @preta, mimi niko serious cjui ww umechukuliaje maandishi yangu bt wala ucjali xana coz maandishi hayamati sana ilimradi neno lililokusudiwa limefika.
   
 8. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  uko soo innocent mpaka nimekutamani....

  kama humind kutoka na jimama then nitafute,lol....ni good time tu hutajutia...lol,usiwe muoga mwaya ndoa ni kama mambo mengine,unagamble tu if u win okey,if u dont unajitoa fasta lol,mie nimeachika chuo cha tatu na natafuta mume wa nne lol ,ninachoona sio tatizo kumpata umpendaye bali unawamiss wazazi wako,kwa hio pole...kusema ukweli wazazi wanaplay part ndogo sana ktk ndoa zetu if not hawaplay kabisaa.,,,,,,,,,so usijisikie mpweke hawapo kwa sababu hata wangekuwepo ungeoa mtu ambaye unamtaka wewe na ndoa yako ungeiendesha unavyotaka wewe sio wao.
   
 9. j

  jackson kanene Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanx ,@jestina mungu ndiye anayejua hitaji la moyo wa kila m1 we2,nimetaman kupata ushaur ktk muda huu kwani nimeona ndio wakati muafaka kwangu kuingia ktk ndoa.
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  @jackson kanene

  uandishi nao unachangia sana katika kumvuta mchangiaji kupata maneno mazuri au yenye mantiki ya kuandika.

  Ukishaaandika xaxa, xana, cna, m2 nakuweka kwenye kundi la kisharobaro ambalo naona kama hujawa serious.

  Anyway, ngoja waje wengine wakushauri kwa ufasaha mie lugha huwa inanitingisha.
   
 11. j

  jackson kanene Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks a lot bro' pakajimmy ushauri wako ni mwema xana kwangu na nitajitahidi kuzingatia.
   
 12. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jackson siku hizi hakuna wanawake kuna majambazi tu,daaaa.
   
 13. j

  jackson kanene Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh?@ kongosho, sio kwamba sipendi unipe ushauri la' mimi napokea +ve na -ve advice ili mladi unikosoe au unielekeze kutenda mema,tangu mwanzo nimekuzwa kikristo haya maandishi nimekumbana nayo huku mitandaoni na yalinisumbua sana but na mimi nika adopt.
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Jestina,
  Huyu bwamdogo, ningekuwa na mdogo wangu wa kike ningemlengeshea...huh!
  He is so humble and way polite...naamini atampta mtu anayemfaa sana, atakayeziba pengo la mama yake mzazi!
  zAIDI sana dogo anahitaji kusali sana na kumshirikisha Mungu ili apewe chaguo jema!
   
 15. j

  jackson kanene Member

  #15
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @mashambani kwao, duuh mbona unanitisha tena?
   
 16. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  akili za wenzako...changanya na za kwako...Kongosho akinitangulia tu kwenye sredi nakosa direction...maana ananichanganya...ntakuPm!
   
 17. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  una"tujineno" we bint...mpaka nimekupenda gafla...
   
 18. igwana123

  igwana123 Senior Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wewe mzushi una mademu kibao. Yule kakufumania leo unaomba ushauri gani kitombi wewe. Kesho nikikuona pale sehemu nitakuleza live!
   
 19. j

  jackson kanene Member

  #19
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @bagaa,duh kweli nitachanganya zote!
   
 20. j

  jackson kanene Member

  #20
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @igwana thanks but matusi hayana tija kabisa,siyo kila thread waweza kucomment ,huu ndio -ve ushauri nawe umetoa.
   
Loading...