LOVED
Member
- Jan 23, 2013
- 49
- 24
Nimekuwa nikikutana na sentensi hizo hapo juu,,natafuta mke mwema au mume mwema.Mimi nadhani tukubaliane mume mwema au mke mwema yupo ndani yako.
MKE MWEMA
Utamkuta mtu anataka mke mwema,,we je ni mwema? Anataka bikra,we je bikra? Mke mwema yuko ndani yako,tabia unazozitaka kagua kama unazo.Ni wanawake wangapi umewavunja mioyo huko utokako na leo unakuja unalia hapa nataka mke mwema.Utapata anaefanana na wewe usipoteze wakati kwa kuwakataa unaofanana nao
MUME MWEMA
Ndoa si jeuri,,elimu kubwa wala pato kubwa,ndoa ni zaidi ya hisia na maelewano.Utamkuta mdada maringo,jeuri,mapozi,,n.k kisa ana elimu au ana pesa.Punguza maringo dada utazeekea kwenu.
Utapataje mume mwema wakati we mwenyewe jeuri na sista mapozi? UTII NI BORA kuliko sala na sadaka zako.Tenganisha pato,elimu na Maisha,,maisha acha yaitwe maisha.
NAWATAKIENI KILA LA KHERI KTK KUTAFUTA MNAO-MATCH NAO ila punguzeni masharti (principles) mtawapata mapema,mambo mengine mtarekebishana mbele ya safari