Natafuta mke mwema - Muislam

Sawa hakuna shida kumbuka life is very precious and beautiful and you only live once YOLO.

Hahahahh policcm wanafyatua risasi kama vichaa,sijui hakuna adhabu za hawa watumishi kupigana hadharani hivi

Nitajitahidi kuacha kuangalia japo ni ngumu
 
Mkuu gari nalo ni kigezo cha mrembo kukubali ndoa? Likiharibika na gharama za kutengeneza ni kubwa sana ataomba talaka?

Kaa sababu wewe ni graduate na umeajiriwa serikalini utawapata wengi.
Pia umesahau kusema una gari
 
Mkuu gari nalo ni kigezo cha mrembo kukubali ndoa? Likiharibika na gharama za kutengeneza ni kubwa sana ataomba talaka?
Mkuu ukiwa na gari usafiri ni uhakika. Mke anaweza kwend popote anapotaka bila shida. Kama wewe ni mtu wa mahusiana utanielewa tu umuhimu wa gari hata la kuazima mbele ya mwanamke
 
Reactions: BAK
Mkuu mimi nakupa ushauri wa bure. Gari kwa wadada ni kitu kikubwa mno kuliko hata io elimu yako ulioweka hapo.
Najua utabisha ila kwa mtu mwenye uzoefu wa wanawake anajua umuhimu wa kumfata na gari na kumrudisha na gari kwake nk. Sasa wewe ata uwe n phdna huna mkoko ni kazi buree.

Kama una gari sema una gari utawapata kibao mkui trust me
Ofcoz, swala la elimu ni moja ya consideration ya muhimu unapotafuta mme/mke. Hakukua na umuhimu wa kueleza kama nin gari.
 
Nakubaliana nawe lakini bado sioni kama ni kigezo bora cha kukubali au kukataa kuolewa ikiwa mume mtarajiwa ana sifa zote au asilimia kubwa lakini hana gari basi akapigwa chini kwa kutokuwa na gari.

Mkuu ukiwa na gari usafiri ni uhakika. Mke anaweza kwend popote anapotaka bila shida. Kama wewe ni mtu wa mahusiana utanielewa tu umuhimu wa gari hata la kuazima mbele ya mwanamke
 
Watakuwa ni matapeli tu wasio na nia ya kweli ya ndoa. Basi ataje na mshahara wake na kwenye bank accounts zake ana balance kiasi gani.

 
Watakuwa ni matapeli tu wasio na nia ya kweli ya ndoa. Basi ataje na mshahara wake na kwenye bank accounts zake ana balance kiasi gani.
Kama ni matapeli atawapata tu si kashasema yy ni graduate na anafanya kazi serikalini sasa hapo si atawapata kibao.
Kama angeamua kupata wakwel wasioangalia pesa angesema tu umri wake basi..
 
Hadi leo mnatafuta wapenzi kwenye mitandao,...elimu,elimu,elimu!
 
Mkuu, mi sitafuti demu wa kupiga tu, natafuta mke atakaye kuja kuwa mama watoto wangu. Huyo mwanamke atakaye nipendea gari hanifai, by the way nime appriciate jinsi unavyotoa hoja zako kistaarabu!
 
Hujui matumizi sahihi ya mitandao, sina cha kuku laumu
Wewe ndio hujui matumizi sahihi ya mtandao,....ndio maana nimekusikitikia,utakao wapata ndio hao hao wenye uelewa mdogo,hadi leo unaona fahari kufanya kazi serikalini,mwanamke gani mwenye akili atahangaika na wewe,...eti awe na diploma na ujinga gani sijui bro badilika aisee,futa tongotongo machoni humo,...hizo degree unazoringia sisi tunazo na tuliisha resign kazi za kitumwa kama unazojitapa hapa,tunafanya mambo yetu...tumieni mitandao kwa akili sio kila kitu mtakipata kwenye mitandao,!... badilika
 
Idiot
 
Laughing Stock.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…