NATAFUTA MKE (miaka 36 na kuendelea) awe DAR-MOSHI au ARUSHA

tall_gentle

Member
Jun 14, 2013
7
2
Salaam wana JF najitokeza hapa kutafuta mwanamke awe MNENE, MKRISTO anayeishi kati ya DAR, MOSHI au ARUSHA mwenye umri kuanzia miaka 36,angalau awe na DIPLOMA kwa sasa mi naishi Dar japo ninasafiri sana kati ya DAR-MOSHI na ARUSHA. Akiwa na watoto wasizidi wawili maana nami nina mtoto pia, awe tayari kupima UKIMWI. Aliye tayari ani-PM.TAFADHALI ZINGATIA KIGEZO CHA UMRI & ELIMU. Mimi nafanya kazi DAR japo ninasafiri mara nyingi kwenda MOSHI na ARUSHA kikazi. Elimu: Nina
Shahada ya Pili ya Uongozi wa Biashara (MBA=Master of Business Administration), umri wangu ni miaka 39. Asante
 
Salaam wana JF najitokeza hapa kutafuta mwanamke awe MNENE, MKRISTO anayeishi kati ya DAR, MOSHI au ARUSHA mwenye umri kuanzia miaka 36 kwa sasa mi naishi Dar japo ninasafiri sana kati ya DAR-MOSHI na ARUSHA. Akiwa na watoto wasizidi wawili maana nami nina mtoto pia, awe tayari kupima UKIMWI. Aliye tayari ani-PM.TAFADHALI ZINGATIA KIGEZO CHA UMRI. Asante
Towa na wewe wasifu wako na umri wako ili ufanyiwe full scan.
 
Tall&gentle unaonaje ukisema unahitaji mwenye kilo ngapi badala ya kutoa kigezo cha UNENE. Lakini pia ni vyema ukasema UNENE gani unaoutafuta wa kifua, tumbo, au makalio?
 
kwa waolewaji jamani kazi kwenu.

Salaam wana JF najitokeza hapa kutafuta mwanamke awe MNENE, MKRISTO anayeishi kati ya DAR, MOSHI au ARUSHA mwenye umri kuanzia miaka 36,angalau awe na DIPLOMA kwa sasa mi naishi Dar japo ninasafiri sana kati ya DAR-MOSHI na ARUSHA. Akiwa na watoto wasizidi wawili maana nami nina mtoto pia, awe tayari kupima UKIMWI. Aliye tayari ani-PM.TAFADHALI ZINGATIA KIGEZO CHA UMRI & ELIMU. Mimi nafanya kazi DAR japo ninasafiri mara nyingi kwenda MOSHI na ARUSHA kikazi. Elimu: Nina
Shahada ya Pili ya Uongozi wa Biashara (MBA=Master of Business Administration), umri wangu ni miaka 39. Asante
 
Salaam wana JF najitokeza hapa kutafuta mwanamke awe MNENE, MKRISTO anayeishi kati ya DAR, MOSHI au ARUSHA mwenye umri kuanzia miaka 36,angalau awe na DIPLOMA kwa sasa mi naishi Dar japo ninasafiri sana kati ya DAR-MOSHI na ARUSHA. Akiwa na watoto wasizidi wawili maana nami nina mtoto pia, awe tayari kupima UKIMWI. Aliye tayari ani-PM.TAFADHALI ZINGATIA KIGEZO CHA UMRI & ELIMU. Mimi nafanya kazi DAR japo ninasafiri mara nyingi kwenda MOSHI na ARUSHA kikazi. Elimu: Nina
Shahada ya Pili ya Uongozi wa Biashara (MBA=Master of Business Administration), umri wangu ni miaka 39. Asante

Kujieleza kwenyewe majanga, je kummiliki mwanamke utaweza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom