hahahaha nina kilabu kimoja cha mbege 2 bas i think nitapata mke humu
Kama una kilabu humu hutatupata ng'o
labda jukwaa la Siasa.
Unamaanisha kule kwa waheshimiwa?MENTION Madame B umenifanya nicheke
acha kunikatisha tamaa mi naamini nitapata tu
haaa! Ndo mnaamua kunitosa kwan pesa kitu gan?
Huko huko aende.
Wewe hayo mambo ya mapenzi bila pesa ilikuwa zamani sana.
Siku hizi hapendwi mtu,linapendwa Pochi!!!
Lakini MENTION labda hiyo kilabu inamfamya poch iwe nene!
Rudia pale juu kasema Pesa kitu gani bhana?
Ana maana Pesa hana.
Kama hana bora awahi kijini kwao kabla hawajakimbilia mjini