Natafuta mke jamani.

Natafuta mke jamani.

Kiba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
459
Reaction score
62
Maisha yangu yote kwa kaumri changu miaka 25 nimetembea na wanawake 15. Wadada wawili kati ya hao tuliweka ahadi za kuona lakini chenga chenga zikatokea mwishoni .

Sasa nimeamua kutulia na kutafuta msichana ambaye nitaishi nae maishani jamani .kwa sasa kila nimuonaye naona ni mwongo. Je nifanyeje? Kwa mwenye ushauri mzuri anitafute kwa 0652380622.
 
Mkuu na ww uko sawa Lkn makosa ni hao akina dada tu jichunguze vizuri before
 
una hela?au unataka kumpa shida huyo mke?
 
Maisha yangu yote kwa kaumri changu miaka 25 nimetembea na wanawake 15. Wadada wawili kati ya hao tuliweka ahadi za kuona lakini chenga chenga zikatokea mwishoni .

Sasa nimeamua kutulia na kutafuta msichana ambaye nitaishi nae maishani jamani .kwa sasa kila nimuonaye naona ni mwongo. Je nifanyeje? Kwa mwenye ushauri mzuri anitafute kwa 0652380622.

subiri subiri ufikishe angalau 100 hivi ndi uoe......
 
sasa mbona umeandika tetesi? ?? je ujiamin nini. au aujui maana ya tetesi.inaonekana habari yako hauna uhakika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom