Natafuta milango 5 ya mbao, mkongo (frame na top). kati ya hiyo 4 ni singo na 1 ni double.
Tafadhali nipe Bei kama unahusika.....nitaenda kwa atayenipa bei nzuri
Kwa nitakayefanya nae kazi nitampa pia kazi ya kutengeneza top za ngazi, ngazi ni ya chuma inahitaji top za mbao