Natafuta Mikasi ya kukata Korosho

Natafuta Mikasi ya kukata Korosho

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
57,805
Reaction score
49,109
Wakuu habari zenu,

Natafuta Mikasi ya kubangulia Korosho mwenye nayo ani pm nipo Dar es salaam

Asanteni.

attachment.php
 
wandugu au kama kuna mtu anajua inapatikana wapi aniambie naomba
 
Miss ni mzuri huwo mkasi tena hata mi nimeupenda na nitajitahidi kwenda kule kitumbini mtaa wa india na morogoro ili niutumei kwenye kabustani kangu na umenipa elimu asaanti
 
kwenye bustani unafanyia nini huo mkasi mkuu? niko curious!
 
Miss ni mzuri huwo mkasi tena hata mi nimeupenda na nitajitahidi kwenda kule kitumbini mtaa wa india na morogoro ili niutumei kwenye kabustani kangu na umenipa elimu asaanti

mkuu makasi wa kubangua korosho kwenye maua haufai loh
 
Leo nimeamka natafuta huu mkasi pia haipatikani yaani dah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom