Natafuta Microsoft lumia 535

Joined
Feb 9, 2015
Posts
5
Reaction score
5
Habari wanajukwaa..tafadhali nani anajua ni wapi dar au arusha naweza kuipata hiyo simu? Nashkuru in advance...
 
wacheki midcom dar, wao ndo wanahusika na simu za lumia east africa. wana duka karibu na kituo cha polisi msimbazi kkoo.
 
Nimechukua juzi mlimani city kwenye office za tigo, hata airtel
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…