Mtego wa Noti JF-Expert Member Joined Nov 27, 2010 Posts 2,645 Reaction score 1,672 May 10, 2016 #1 Wadau natafuta microscope kwa ajili ya masuala ya maabara za utambuzi wa vimelea/vijidudu vinavyosababisha magonjwa kwenye mwili wa binadamu. Aina ninayoitaka ni Olympus. Kama kuna mwenye nayo na ikiwa genuine anitafute kupitia Pm tufanye biashara.
Wadau natafuta microscope kwa ajili ya masuala ya maabara za utambuzi wa vimelea/vijidudu vinavyosababisha magonjwa kwenye mwili wa binadamu. Aina ninayoitaka ni Olympus. Kama kuna mwenye nayo na ikiwa genuine anitafute kupitia Pm tufanye biashara.
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 20,720 Reaction score 41,624 May 11, 2016 #2 mimi ninayo emry ya japan jicho moja ya umeme niliagiza sijaitumia baada kuamua kufanya kazi ingine kama unaitaka ni genuine...bei laki Nne..ukitaka picha ni pm
mimi ninayo emry ya japan jicho moja ya umeme niliagiza sijaitumia baada kuamua kufanya kazi ingine kama unaitaka ni genuine...bei laki Nne..ukitaka picha ni pm