Asantee kwa ushauri
Pole, sio peke yako walioathirika na biashara zao kuzorota na zingine kufa kabisa. Kuna kitu hakijakaa vizuri na hakijapata mfumbuzi.Najua mtashangaa natafuta mganga wa kienyeji ndio baada ya biashara zangu kushuka kwa muda mrefu nikaona mnisaidie mimi nasomaga tu jamii forum ila leo nimeona tu nijiunge niseme ukweli mimi ni mwanamke umri haujaenda sana ila nipo serious anayejua anipm maneno ya kupondeana sina muda huo nipo serious ila naomba msinielekeze kwa wanaotoa kafara siwezani na hilo.
Nataka biashara zangu tu ziende vizuri.
Nategemewa sana na familia yangu .
Naombeni msaada mimi sijatumwa na mtu nimejituma .
NIPO.SERIOUS KABISA.
Siwezi kutoa kafaraDada hutaki kafara huwezi taka maziwa bila kumlisha ng'ombe
Yesu ndokila k2 baba yangu mwenyewe mganga lakini ananiambia nimaudhaudha anawafanyia watu iliapate tu hela
Siwezi kutoa kafara
Najua mtashangaa natafuta mganga wa kienyeji ndio baada ya biashara zangu kushuka kwa muda mrefu nikaona mnisaidie mimi nasomaga tu jamii forum ila leo nimeona tu nijiunge niseme ukweli mimi ni mwanamke umri haujaenda sana ila nipo serious anayejua anipm maneno ya kupondeana sina muda huo nipo serious ila naomba msinielekeze kwa wanaotoa kafara siwezani na hilo.
Nataka biashara zangu tu ziende vizuri.
Nategemewa sana na familia yangu .
Naombeni msaada mimi sijatumwa na mtu nimejituma .
NIPO.SERIOUS KABISA.
Pole sana sikushauri hata maramoja uingie huko