Natafuta Mfanyakazi wa Stationery

Ba Loreen

Member
Dec 23, 2011
75
14
SIFA ZA MUOMBAJI 1. Awe amemaliza kidato cha nne kwa ufaulu wowote, ila awe na vyeti. 2. Awe na uzoefu wakufanya kazi za Stationery na Secretarial services kwa ustadi wa hali ya juu. 4. Awe anajua kutumia programs kama Corel Draw, photoshop, illustrator na Publisher. 4. Awe anaishi maeneo ya Ubungo, Buguruni, Tabata, Segerea au Kinyerezi. 5. Awe mwaminifu na mchapakazi. Kwa mawasiliano na makubaliano piga 0715 819245, 0767 819245 na 0784 819245.Tafadhali kwa aliye na ni ya kufanya kazi tu kabla ya tarehe 20Juni 2012 au Email: siwima2000@yahoo.co.uk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom