Mfanyakazi stationery anahitajika

Pawa chilonda

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
355
413
Natafuta mfanyakazi wa Stationery Ambaye anaweza Fanya kazi Singida vijijini
Mshahara Mshahara 120,000/-

Kodi nakulipia miezi 6 matumizi ya mwezi wa kwanza nakupatia godoro na Jiko la kupikia vipo

Kama upo interested njoo pm au piga 0752099595

Vigezo
1. uaminifu
2. Uaminifu
3. Muaminifu
4. Awe anaijua kazi Mengine tutaelekezana
5. Ajue kuandaa invoice na Delivery ( km hajui ataelekezwa)
6. Awe anajua kuhudumia kwa maana ajue namna ya kuwasiliana na wateja
Mengine tutaelekezana
 
Ningeweza ningekuja maana hio kazi ya stationary nimeifanya kwa miaka 3 na kuandaa delivery note na invoice najua vizus tatizo ni umbali niko mwanza mkuu
 
Natafuta mfanyakazi wa Stationery Ambaye anaweza Fanya kazi Singida vijijini
Mshahara Mshahara 120,000/-

Kodi nakulipia miezi 6 matumizi ya mwezi wa kwanza nakupatia godoro na Jiko la kupikia vipo

Kama upo interested njoo pm au piga 0752099595

Vigezo
1. uaminifu
2. Uaminifu
3. Muaminifu
4. Awe anaijua kazi Mengine tutaelekezana
5. Ajue kuandaa invoice na Delivery ( km hajui ataelekezwa)
6. Awe anajua kuhudumia kwa maana ajue namna ya kuwasiliana na wateja
Mengine tutaelekezana
Aiseee ni mbali mkuu, aiseee
 
Aiseee ni mbali mkuu, aiseee mm computer naijua na hata baadhi ya kazi za stationary naziwez labd note na hikonkingine nitaelekezwa ila.dah
 
Kazi intakiwa babu lakin umbali ndio shida halafu amekwambia ni ndani vijijin mkuu
Kwa hela hiyo mkuu ww unafikria nn?
 
Nikikumbuka nilifata kazi Okahandja, Namibia.
Tena mshahara wala hauelezeki ila vijana wa sasa wanasema Singida mbali.
Aisee!
 
Singida vijijini hafu 120k mtu atoke mkoa mwingine sio kweli labda hpo hapo simgapore
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom