...mmh!Mbona umenikaushia? Akati ulisema niwashe sim jioni?
namtafuta mfanyakazi wa kulisha mifugo pamoja na kazi za ndani awe wa kiume eneo la kazi Rorya mshahara: makubaliano mawasiliano: 0768594351
Mfanyakazi wa ndani - kulisha mifugo na kufanya kazi za ndani unatangaza kwenye JF, unatarajia mtu mwenye uwezo wa kuingia JF aombe na kufanya kazi hiyo ? Labda kama amejiajiri mwenyewe.
Mkuu mbona mimi ndio kazi ninayoifanya hiyo hapa dar na nipo JF, maslahi ndio suala la msingi Jina la kazi mbwembwe tu!
Sasa unapika, kulisha wanyama na kudeki nyumba muda gani kama muda wote unashinda JF !!!
Namtafuta mfanyakazi wa kulisha mifugo pamoja na kazi za ndani awe wa kiume eneo la kazi Rorya mshahara: makubaliano mawasiliano: 0768594351
Nenda shelui singida wamejaa kibao
mfanyakazi wa ndani - kulisha mifugo na kufanya kazi za ndani unatangaza kwenye jf, unatarajia mtu mwenye uwezo wa kuingia jf aombe na kufanya kazi hiyo ? Labda kama amejiajiri mwenyewe.
Kwanza mimi sishindi JF, nashinda kwny ajira yngu! Wanaoshinda JF ni mods labda na wewe kwasababu ulivyojielezea inaonekana uko likizo ya kumaliza form6, wengi wa wanaJF ni watu wenye ajira au shughuli zao hvyo usione watu wakipost ukahisi wamelala kitandan kama ww!!!!
mfanyakazi wa ndani - kulisha mifugo na kufanya kazi za ndani unatangaza kwenye jf, unatarajia mtu mwenye uwezo wa kuingia jf aombe na kufanya kazi hiyo ? Labda kama amejiajiri mwenyewe.
Ukweli unauma eee, mbona unatoa mapovu kama ni kweli unashinda huko. Afadhali mimi niliyemaliza form six, nasubiri kuingia VETA ili nipate ujuzi wa kujiajiri kuliko wewe uliyemaliza darasa la nne kuishia kuwa Yaya, akili imedumaa unatoa matusi tu.
Nimetukanwa hapa.......Kwanza mimi sishindi JF, nashinda kwny ajira yngu! Wanaoshinda JF ni mods labda na wewe kwasababu ulivyojielezea inaonekana uko likizo ya kumaliza form6, wengi wa wanaJF ni watu wenye ajira au shughuli zao hvyo usione watu wakipost ukahisi wamelala kitandan kama ww!!!!Acha kupanic dogo, wap umetukanwa?! Kwa akili yako ilivyo mgando i doubt hata hizo passmarks za kuingilia Veta utazipata kwel! The good thing is, hapa nilipoajiriwa wanahitaj mlinzi mwngne so ukishatoka jkt nitafute,ila kuwa makin na zoezi