Natafuta mfanyakazi wa ndani

Natafuta mfanyakazi wa ndani

Tena Kwa Mshahara huo ataweza kupata kabisa wa hapa Dar wa kutwa, tena anaweza pata Mtu mzima msafi anaejielewa ! A house keeper with less supervision ! Ila changamoto Yao kubwa nasikia ni kuiba vitu vya nyumbani Kama vile mafuta ya kupikia , sabuni , sukari, mchele , unga, maharagwe n.k Eti Bombay hali hiyo unawezaje kuizuia? Maana nyie mna uzoefu wa kutumia hawa wa kuja na kuondoka kwao
unafungia vitu unampimia
 
Tahadhari usiingie kichwa kichwa na kutuma Nauli utapigwa na house girl hutampata..,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom