Natafuta mfanyakazi wa ndani (house girl)

Apr 18, 2017
81
51
Kama title inavyojieleza.
Eneo la kazi ni Sinza, Dar es Salaaam
Awe wa umri kuanzia miaka 18+

Awe muadilifu, mchapakazi na utayari wa kukaa kwa muajiri
Mshahara wa kuanzia 50,000/- kwa mwezi.

Mawasiliano: +255 683 018095
WhatsApp: +255676095799
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom