Vanlizerfx__
Senior Member
- Jul 7, 2021
- 114
- 189
Tujulishane kama yupo unaweza nambia hapo chini, atapata mshahara mzuri tu.
Nitamlipa mshahara mzuri tuwe muhaya nini , mimi nataka mwenye kadigirii kabisa
Unachotaka kusema ni nini?Tujulishane kama yupo unaweza nambia hapo chini, atapata mshahara mzuri tu.
Wa jinsia yoyot has wakike atapewa kipaumbeleWa kike wa kiume?
Ni mfanyakaz na Niko very seriousSas huyo ni mfanyakaz au IT
Hahahaha kwa niniKwa makisio hufai nenda garage
Ni hicho tu boss au unaeUnachotaka kusema ni nini?
Umesom chuo gan na ilikua na GPA ya ngap ambatanish kweny threadNiko hapa!
Ila nina certificate.
Jinsi ya kiume.
Niko kinondoni!
Nipe maelekezo zaid
Hahahaha kun kaz mbadal na kaz za kawaidKwani vyombo vyako unaosha kwa computer?![]()
Duh, vipi una miradi ya kufuga kuku kwa kutumia computer?Hahahaha kun kaz mbadal na kaz za kawaid