Au sijui niwe sponsa? Au basiAu Sijui niwe manager
ni kweli mkuu ila ukimaliza story yote utajua kwanini sijafanikiwa kuweka.Ingekaa vizuri kama ungesindika uzi na nyimbo yako walau moja.
Ingekaa vizuri kama ungesindika uzi na nyimbo yako walau moja.
Ingekaa vizuri kama ungesindika uzi na nyimbo yako walau moja.
karibu mkuuAu sijui niwe sponsa? Au basi
Underground ukubali yote kuzaraulika kuonekana kituko, Sina hamu na hii kitu yataka Moyo, tafuta kazi uje kujifanyia promo na n.k, bila kuomba msaada kwa mtu, ukishatoka imeisha hiyooo.....Last two weeks nilikuwa mbeya msibani nilifiwa na bibi yangu mzaa baba. Jamaa alinipigia na akaniomba kua anakazi anaiandaa ni collabo na msanii wa kenya so niwah kurudi ili tuwek mambo maana linapofika swala la uandishi hua ananiaminia. Nyumbani hawakuruhusu niondoke na ukizingatia tulikua tumetoka kuzika siku moja kabla ya yeye kunitafuta huku wazazi wakinisihi niachane na hayo mambo mana muda unakwenda na hakuna kinachoendlea.. Nilimuomba jamaa anipe 1week ili nijue nachekecha vipi maskani nisepe. Yeye akachukulia kama nimemdharau na si unajua wenye pesa zao wakitaka jambo lao lifanyike so alinimind. Wiki iliopita nikarudi then nikaenda tuonane akanitukana, akanambia nimeota mapembe najiona sabab anantumia sana kwenye kazi zake na hakuna popote ntapofika ni kama nasubiri meli airpot.
Licha ya kuomba sana msamaha niliishia kupigwa kofi na kutolewa nje kama wale mademu wa bongo muvi wanavofukuzwaga.
Pale studio nilikua nimerekod nymbo zng mim binafsi nne, nikamuomba bas anipe nkaanzie maisha akakataa.
Jamiiforum umu kuna wajuaji na watoa maoni hakunaga msaada wa aina yoyote. Usipoteze muda wako umu kuomba msaada.....Last two weeks nilikuwa mbeya msibani nilifiwa na bibi yangu mzaa baba. Jamaa alinipigia na akaniomba kua anakazi anaiandaa ni collabo na msanii wa kenya so niwah kurudi ili tuwek mambo maana linapofika swala la uandishi hua ananiaminia. Nyumbani hawakuruhusu niondoke na ukizingatia tulikua tumetoka kuzika siku moja kabla ya yeye kunitafuta huku wazazi wakinisihi niachane na hayo mambo mana muda unakwenda na hakuna kinachoendlea.. Nilimuomba jamaa anipe 1week ili nijue nachekecha vipi maskani nisepe. Yeye akachukulia kama nimemdharau na si unajua wenye pesa zao wakitaka jambo lao lifanyike so alinimind. Wiki iliopita nikarudi then nikaenda tuonane akanitukana, akanambia nimeota mapembe najiona sabab anantumia sana kwenye kazi zake na hakuna popote ntapofika ni kama nasubiri meli airpot.
Licha ya kuomba sana msamaha niliishia kupigwa kofi na kutolewa nje kama wale mademu wa bongo muvi wanavofukuzwaga.
Pale studio nilikua nimerekod nymbo zng mim binafsi nne, nikamuomba bas anipe nkaanzie maisha akakataa.
Kwa watu wageni.... Jamiiforum most of daily commentators hatuna maajabu. Watu wa kusaidia na serious wapo ila hawapo bize kama sisi wavizia fursa humu. Kuna jamaa niliwahi kumdanganya humu naweza kuandika kitu Fulani... Jamaa akanialika Serena pale nkahudumiwa vizur mnooo. Alivyofika nikajitetea tu akanisaidia na nauli 50k pale.. madoni wapo humuhumu wakuu. Ila kama mgeni awe makini na watu ambao Kila Uzi wapooJamiiforum umu kuna wajuaji na watoa maoni hakunaga msaada wa aina yoyote. Usipoteze muda wako umu kuomba msaada.
Kama kweli upo serious akikisha una nyimbo walau tatu zilizokamilika. Ukiwa nazo siku yoyote nicheki chemba nikupe namba za wadau wakubwa kabisa kwenye hii industry. Kama kweli una kipaji watakusikia na utapata management nzuri ila hakikisha una kipaji haswa maana siku hizi kila anaeimba vizuri anaamini anaweza kuwa msanii.
Waimbaji wazuri ni wengi sana. Wapo kila mtaa kila chochoro. Lakini lebo zinapata shida kusaini wasanii wakali zinawatafuta haziwaoni.Unaweza kukutana na hao wadau wakakuchora tu, na hivi mtoto wa kike kutongozwa Basi, mi nilipitia hayo Mambo, unachimba dhahabu hupati yataka Moyo, na nilirekodi studio kubwa kwa projuza mkubwa aliyetoa watu na kukutana na wasani wakubwa, na niliwahi kuojiwa na redio moja, nimeachana na hayo maswala, bele 9, alifanya kazi tumbaku kakusanya Ela kajitoa mwenyewe Ila kabla ya hapo alikutana na hao wadau wakamchora tu, kila kitu Dua.