VMWare-Oracle
JF-Expert Member
- Dec 19, 2021
- 670
- 928
Changa pesa mkuu ifikie laki 1 na nusu, utapata meza nzuri tuWasalaam JFs.
Namtafuta mtu anayeuza vitu tajwa hapo juu.
Meza iwe na droo moja.
Pesa yangu 70,000 jumla.
Location yangu: Kinondoni,Dar.
70000 ndiyo uwezo wangu.changa pesa mkuu ifikie laki 1 na nusu . utpata meza nzuri tu
70000 utapat meza ya kuwekea tv tu
ShukranMeza na kiti pita pita kwa mafundi seremala ila ununue ukitoa Advance umeliwa.
kwa hiyo bei hata cha msaada hupati, kuwa serious kijana70000 ndiyo uwezo wangu.
Bei ya used sipati?kwa hiyo bei hata cha msaada hupati, kua serious kijana
(meza+kiti) ? hata ya wizi hupatiBei ya used sipati?
Shukrani mkuu kwa codes.Hiyo hela ni kubwa tu. Na unapata vitu vya maana tu.
Fanya hivi nenda Manzese usawa wa kituo cha mwendokasi upande ule wa kushoto kutokea Ubungo. Kuna watu pale wanauza...
Mkuu meza na kiti vipo, but haina drooWasalaam JFs.
Namtafuta mtu anayeuza vitu tajwa hapo juu.
Meza iwe na droo moja.
Pesa yangu 70,000 jumla.
Location yangu: Kinondoni,Dar.
Mm namuongezea nenda rozana buguruni pale kuna mafundi seremala mpe bajeti yako atakutengenezea vyote. ..in short seremala yoyote anaweza kutengeneza kitu kwa bajeti yako. ..vilivyotengenezwa tayari vinakua na fixed price mostlyHiyo hela ni kubwa tu. Na unapata
Naomba picha tafadhaliMkuu meza na kiti vipo, but haina droo
Nakumbuka advance tulisoma na msukuma mmoja, jina nakumbuka kabisa alikua anaitwa Fredy.Mmoja alipoenda A level aliuza kila kitu mpaka godoro akawa anajitesa ili afaulu, mwisho alichoka
Working on it...Chukua hivi viti mie nilinunua 30k kamavimepanda kwa sasa labda ni 35k. Ni vizuri sana na vinadumu pia havichoshi kama ukikaa unasoma. Viti vya mbao vya mafundi vitakuumiza maana havijatengenezwa kwa vipimo vya kukupa comfortability kama hivi vya kiwandani.
Take my advice young manView attachment 2414122
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app