Natafuta metal smelting furnace kit

Natafuta metal smelting furnace kit

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
2,224
Reaction score
2,095
Habari

Natafuta mashine ndogo ya kuyeyusha chuma inayotumia gesi. Kama unayo nicheki hapa au inbox.
 
Nenda Waja au kampuni inayouza vifaa vya dhahabu
 
Asante ila freight cost na kodi ni kubwa mno. Yaani inazidi bei ya mashine yenyewe, Natafuta ambayo nitanunua hapa TZ
Alibaba wanatuma kwa freight forwarders kama silent ocean au mapembelo kisha wao ndiyo wanasafirisha kuleta TZ .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom