Natafuta Meneja wa Pub/Bar

Natafuta Meneja wa Pub/Bar

ugali

Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
24
Reaction score
2
Wadau
Ninatafuta mtu anayefaa kusimamia shughuli za Pub/Bar iliyopo maeneo ya Kigamboni-Maweni Area mwenye sifa zifuatazo:
1.Mwaminifu na mwenye kujituma
2.Elimu isiyopungua kidato cha nne
3.Mzoefu
4.Mwenye uwezo wa kujenga mahusiano mazuri na wenzake

Kwa yeyote anayehitaji kazi hiyo, tafadhali wasiliana na Mkurugenzi kupitia email: deomoyo@gmail.com
 
Tupo wengi sana tu,@ baba genovivah. ugali iyo nafas nipe navijana wangu hapa
 
Last edited by a moderator:
Mim nina sifa zote hizo na za ziada, na ninahitaji kweli kazi yoyote mjini hapa. Nambazangu ni 0783299690.
 
asante kwa kutoa ajira!!!
lakini nimerespond kwa kutuma email cjaona najibiwa kulikoni au ndo mtu anajickia tu kupost!!!!!!:sad:
 
Back
Top Bottom