Natafuta meneja wa kunidhamini mimi ni msaani chipukizi

Natafuta meneja wa kunidhamini mimi ni msaani chipukizi

Sasa YouTube hizo kazi zako hazina jina? Na usiwaze mameneja waza kupigana wewe kama wewe utakuja kuharibiwa ndoto zako na watu wasiojua malengo yako.
 
Kijana mdogo ushajifanya fundi wa mapenzi?
hahaha (joking)
Mkuu unaweza kuanza kwa kuuza mashairi kwa wasanii wa kubwa ndo upate mtaji.
Sio lzm uanze kutoa nyimbo, nenda wasafibuza mashairi wa harmonize,rayvan
 
Never give up, Hapa JF utakutana na kila aina ya ushauri mwishoe utakata tamaa. Hii ndio JF bhana watu wanaishi kwa kujuana kwahyo never give up dogo
 

huyu video queen si ungesema tukupe hata Miss Natafuta humu tena bure kabisa?
Hap JF kuna totoz kali tunaweza kukupa bure uwatumiee kwenye video yako.

Ila hongera mkuu, unajitahidi sana.
Ila zingati ushauri wa mwanzo, tengeneza mashairi mazuri kawauzie akina ben pol, jux, wasaf group alikiba nk
 
nataka nitoe wimbo mwingine mwezi wa pili,video queen wenye hadimu sana ,wengine gharama kubwa
 
nataka nitoe wimbo mwingine mwezi wa pili,video queen wenye hadimu sana ,wengine gharama kubwa
Mdogo mdogo usikate tamaa fanyia kazi ushauri uliotolewa utafanikiwa tu one day ' mwanzo mgumu'
 
Dogo piga zoezi saana kwenye sauti, melody na lyrics.

production ni ya chini saana...saana nafikiri ni kwasababu ya shida ya pesa.

Kikubwa hakuna manager anakuchukua kama anaona tracks zako ni mbovu maana naye anawekeza kwako. Jitahidi utafute pesa uende kwa mtu kama T touch ukirekodia kwake anakuelekeza na kukufundisha kuiweka sauti poa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom