General B. Member Joined May 18, 2011 Posts 17 Reaction score 0 May 20, 2011 #1 Hi wana jf, mimi ni mgeni katika ukanda huu hivyo natafuta members ambao tutabadirishana mawazo katika sekta zote!
Hi wana jf, mimi ni mgeni katika ukanda huu hivyo natafuta members ambao tutabadirishana mawazo katika sekta zote!
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,651 May 20, 2011 #2 Mfano sekta ipi mkuu. Nambie ili tu shee.pia napenda ku share
Mbimbinho JF-Expert Member Joined Aug 1, 2009 Posts 8,328 Reaction score 7,804 May 20, 2011 #3 sor, ar u he or SHE? jst wana know ili iwe rahisi kukusaidia..
LD JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 3,014 Reaction score 578 May 20, 2011 #4 We ni he au ni she? Uko wapi? Unafanya nini? Unataka kushea nini?
Yericko Nyerere JF-Expert Member Joined Dec 22, 2010 Posts 17,018 Reaction score 20,489 May 20, 2011 #5 Hebu ni PM tuanze kushea aidia zetu kiongoze! Siunajua jf wote ni ndugu!!!!
S Sharo hiphop JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 660 Reaction score 104 May 20, 2011 #6 Nenda new member, ukaribishwe, umewahi kuja kwenye forum hii, huku ni threads tu. Ila welcome
Mamushka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2010 Posts 1,595 Reaction score 100 May 20, 2011 #7 Karibu mwaya.
bacha JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 4,282 Reaction score 799 May 20, 2011 #8 General B. said: Hi wana jf, mimi ni mgeni katika ukanda huu hivyo natafuta members ambao tutabadirishana mawazo katika sekta zote! Click to expand... karibu!
General B. said: Hi wana jf, mimi ni mgeni katika ukanda huu hivyo natafuta members ambao tutabadirishana mawazo katika sekta zote! Click to expand... karibu!
AshaDii Platinum Member Joined Apr 16, 2011 Posts 16,189 Reaction score 18,113 May 20, 2011 #9 General B. said: Hi wana jf, mimi ni mgeni katika ukanda huu hivyo natafuta members ambao tutabadirishana mawazo katika sekta zote! Click to expand... Members Utapata within time ... usijali wala usiwe na haraka... patience...
General B. said: Hi wana jf, mimi ni mgeni katika ukanda huu hivyo natafuta members ambao tutabadirishana mawazo katika sekta zote! Click to expand... Members Utapata within time ... usijali wala usiwe na haraka... patience...