Ndugu zangu, nina mpango wa kuomba uwakala w Bima, na kufanya kazi hiyo. Sasa kwa mujibu wa matakwa ya sheria ni lazima awepo mwenye skills za bima. Mimi namtafuta mtu mwenye utaalam wa mambo ya bima awe na vyeti tushirikiane mm nitatoa gharama za deposit, kwa mujibu wa sheria na gharama zote zinazohusika na pia kuandaa ofisi na gharama za ofisi. Mimi na mbia tutajadili modality ya kulipana hautakuwa mshahara bali tuta share profit pamoja kwa mkataba maalumu tutakaokubaliana. Ahsante wale wote ambao wapo tayari naomba utume email kwenda, kaeinvestment@gmail.com. only kwa walio serious na hili ukituma email onesha namba ya simu ya mawasiliano if you can send you CV accompanied with copies of certificate. Mm ni HR professional but nina miliki kampuni yangu