Bittah Senior Member Joined Jul 14, 2018 Posts 135 Reaction score 37 Dec 6, 2018 #1 Ni muda mrefu sasa nmekuwa mpweke sabu ya kuwa single so nahitaji mdada wa kunitoa upweke akiwa mwanachuo ni fresh tu
Ni muda mrefu sasa nmekuwa mpweke sabu ya kuwa single so nahitaji mdada wa kunitoa upweke akiwa mwanachuo ni fresh tu
Bittah Senior Member Joined Jul 14, 2018 Posts 135 Reaction score 37 Dec 6, 2018 Thread starter #2 Bittah said: Ni muda mrefu sasa nmekuwa mpweke sabu ya kuwa single so nahitaji mdada wa kunitoa upweke akiwa mwanachuo ni fresh tu umri wangu miaka 20 Click to expand... Namba yangu ni 0658427100 whatsap au 0622270872
Bittah said: Ni muda mrefu sasa nmekuwa mpweke sabu ya kuwa single so nahitaji mdada wa kunitoa upweke akiwa mwanachuo ni fresh tu umri wangu miaka 20 Click to expand... Namba yangu ni 0658427100 whatsap au 0622270872
Zesh JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 15,450 Reaction score 25,155 Dec 6, 2018 #3 Mmmh mpaka wa miaka 20 mpo humu!?? Eeh mungu turehemu
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Dec 6, 2018 #4 zeshchriss said: Mmmh mpaka wa miaka 20 mpo humu!?? Eeh mungu turehemu Click to expand... Unataka wa miaka mingap
zeshchriss said: Mmmh mpaka wa miaka 20 mpo humu!?? Eeh mungu turehemu Click to expand... Unataka wa miaka mingap
Two dimension array JF-Expert Member Joined Jul 25, 2018 Posts 1,592 Reaction score 2,381 Dec 6, 2018 #5 Eti mwanachuo fresh tu .....mizinga utaiweza ww .
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Dec 6, 2018 #6 Bittah said: Ni muda mrefu sasa nmekuwa mpweke sabu ya kuwa single so nahitaji mdada wa kunitoa upweke akiwa mwanachuo ni fresh tu umri wangu miaka 20 Click to expand... Dogo soma kwanza wanawake wapo tu,
Bittah said: Ni muda mrefu sasa nmekuwa mpweke sabu ya kuwa single so nahitaji mdada wa kunitoa upweke akiwa mwanachuo ni fresh tu umri wangu miaka 20 Click to expand... Dogo soma kwanza wanawake wapo tu,
N ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 23,712 Reaction score 57,222 Dec 6, 2018 #7 Linda moyo wako kuliko vyote ulivyonavo.we shauri yako TU ukimka bidhi mtu mwingine moyo utaona utakachopata.hutategemea
Linda moyo wako kuliko vyote ulivyonavo.we shauri yako TU ukimka bidhi mtu mwingine moyo utaona utakachopata.hutategemea
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,213 Reaction score 74,027 Dec 6, 2018 #8 Huu mtindo wa kuacha namba mitandaoni unatoa majibu ya matapeli wanapata wapi namba za kupromoti uganga na kukwambia hela tuma namba hii
Huu mtindo wa kuacha namba mitandaoni unatoa majibu ya matapeli wanapata wapi namba za kupromoti uganga na kukwambia hela tuma namba hii
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,534 Reaction score 81,267 Dec 7, 2018 #9 Acha ushamba dogo sasa umemwekea nani namba hapo? Huko unakoishi hakuna wanawake wakukutoa upweke? Baka basi uende jela kabisa.
Acha ushamba dogo sasa umemwekea nani namba hapo? Huko unakoishi hakuna wanawake wakukutoa upweke? Baka basi uende jela kabisa.
Cetshwayo Kampande JF-Expert Member Joined Nov 28, 2018 Posts 1,405 Reaction score 3,260 Dec 9, 2018 #10 chaliifrancisco said: Acha ushamba dogo sasa umemwekea nani namba hapo? Huko unakoishi hakuna wanawake wakukutoa upweke? Baka basi uende jela kabisa. Click to expand... hahahaa
chaliifrancisco said: Acha ushamba dogo sasa umemwekea nani namba hapo? Huko unakoishi hakuna wanawake wakukutoa upweke? Baka basi uende jela kabisa. Click to expand... hahahaa
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Dec 9, 2018 #11 Niandike nini hapa?