Ok akirudi ntamwambia akutafute,umesema unaishi wapi vile?
Duh!bahati imeshanipita
Nakupm mchumba, hii thread kama umeniandikia mie vigezo vyote nnavo sifa zote nnazo
hahahah chief buana naona umekuwa domo zege sasa unatafuta mke uku umejificha kwenye keyboard
Polisi we tafuta bar meid piga tu (PT) akija polisi wa kike mwambie na tafuta mchunba umewin
umeanza dharau? au mie nawataka warembo wa humu niowe mmoja na siyo hivyo Mungu ameniotesha kuwa mke wangu mwema yuko humu jf na siyo kwingine so acha.zako mkuu
Je akiniuliza kama una kazi ya maana na gali ya kuendea kwenye ibada nimwambieje?
humu wapo wazuri mkuu maana wabaya wabaya wapo wachache sana na siyo wale wenye sura ngumu ambaye ukitaka kupiga mambo lazima umfunike usoni na kanga ndiyo upige mambosawa chief utampata ila usije ukarudi hapa unalia kisa umempata mwanamke wa ajabu kutoka jf, hahahaha chief buana
humu wapo wazuri mkuu maana wabaya wabaya wapo wachache sana na siyo wale wenye sura ngumu ambaye ukitaka kupiga mambo lazima umfunike usoni na kanga ndiyo upige mambo
Unafikiri mwanamke wa kuoa vigezo vyake vimejengwa kwenye uzuri wa sura? chief buana
Ahaaaaaaaa