Natafuta mdada mwenye background ya nursing ambaye hana ajira

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,993
34,212
habari wadau..

natafuta mdada mwenye nursing background... kwa ajili ya kusaidia kumuangalia mgojwa..

salary makubaliano ambaye anahis ataweza anichek 0718 537 216

mahali dar es salaam.

kama anaishi mbali na eneo hilo dar.. mfano mkoani.... malazi atapewa 1 master bedroom appartment...

mshahara makubaliano based na vigezo vyake...

asanteni
 
Back
Top Bottom