Natafuta mchumba

mimi nina sifa zote unazotaka
Ni mkristo
umri miaka 32
Ni Mwana Chadema
Nimejiajiri (nina ofisi zangu zinazoniingizia kipato)
Ila tatizo moja tu elimu yangu darasa la 7.
sijui ntakufaa?

ofcourse , iko siku utakufa
 
hahahaaaa! umenifanya nicheke aisee! unaonekana kuhadi mzuri sana.

ndio maana nimekuambia pale awali kuwa japo watu hutofautianaila hata yeye anaonekana ni mtu wa tambo sana, dont you see wht he wrote? read between the lines sisy
 
siwezi kukulaumu maana hicho ndicho unachoamini, kwani watu walioko mitandaoni sio watu wa Mungu? au ndio umekariri kuwa mwenza wako lazima umpate mahali fulani? mie sina mashaka na imani yangu and thats enough.
 
duh mi nina vigezo vyote lakini umri umegoma kidogo my dear...
 
siwezi kukulaumu maana hicho ndicho unachoamini, kwani watu walioko mitandaoni sio watu wa Mungu? au ndio umekariri kuwa mwenza wako lazima umpate mahali fulani? mie sina mashaka na imani yangu and thats enough.

Asantee!! Watu wa Mungu wapo humu pia kwenye msafala wa mamba kenge nao wapo! Mwanampumbavu ni mzigo kwa mamaye!
 
hahahaaaa! umenifanya nicheke aisee! unaonekana kuhadi mzuri sana.

ndio maana nimekuambia pale awali kuwa japo watu hutofautianaila hata yeye anaonekana ni mtu wa tambo sana, dont you see wht he wrote? read between the lines sisy

Mimi sio kuwadi na sijawahi kuwa hivyo,nilijitahidi tu kadri ya uwezo wangu.
Moja kati ya sifa yangu kubwa ni nguvu ya ushawishi,kama huo ni ukuwadi basi sawa.
Yule kaka mimi nimemuelewa sana,wewe kama hujataka kila la kheri mamii...
Hii ndio JF bwana,bora anayefunguka hadharani kuliko magumegume yanayokuja huko PM kimyakimya.....SIO WAOWAJI!
Mwenyewe unaonekana mzoefu nadhani hili unalijua vyema,all the best.
 
uliwapiga vibuti vijana wenzako wakati unasoma kila wakikufuata uliwaona malofa kwa sababu hawakuwa na ajira wala pesa ukawaona ni nguruwe wasumbufu ukamegwa na vibabu vyenye wake zake bila kuzingatia future yako sasa uzee unakunyemelea mvi mpaka kwenye kwapa na kusikojulikana kwa wengi ndiyo unakuja unalialia hapa na kuanza kuweka vigezo kama wanaume unaumba wewe. watu wanatoa vigezo vyao humu unaleta shobo mwanamke mwenzio anakupa direction unajifanya unajua mioyo ya watu ?
utakuwa hutaki ndoa wewe teseka tu huko na midoli kitandani itakupatia joto:bange::bange::bange:
 
akiacha kukusikiliza kwa ushauri huu atakuwa hataki mume anatania tu kupotezea muda watu.
 
duuuuuh mbona we mdada uko race sana kama vile unalazimisha kumpata humu humu....hadi nimeanza kukustukia sasa
 
jamani we kama unahisi hii post inakukwaza sanaaaaa au haikuhusu, just read and pass, sio lazima ujionyeshe kuwa wewe mjuaji sanaaaaa na kumsaidia Mungu kazi, people are tooooo judgemental in here, sio lazima watu tufanane vipaumbele.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…