habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza;
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28, mkristu,mweusi kwa rangi(chocolate), elimu yangu ni ya ngazi ya shahada, ni muajiriwa serikalini.
ninatafuta mchumba(mwanaume) mwenye umri wa kuanzia miaka 30,mcha Mungu,mkristu, elimu kuanzia shahada kwenda juu, aliyejiajiri au kuajiriwa,muelewa, muaminifu,muwazi na mkweli.
aliye na uhitaji kama mimi na aliye serious pekee ani-pm, tafadhali kama hauko serious just spare me with the trouble please.
Jamaani na bwana atende
0762991229. Nipigie chap. Nipo serious
mimi nina sifa zote unazotaka
Ni mkristo
umri miaka 32
Ni Mwana Chadema
Nimejiajiri (nina ofisi zangu zinazoniingizia kipato)
Ila tatizo moja tu elimu yangu darasa la 7.
sijui ntakufaa?
Haya kweli ni mabadiliko, Rashid kawa Mkristu
Mbwa dume kwangu inaweza isiwe shida ila hofu yangu ni inferiority complex wanazokuwa nazo wanaume endapo anakuwa amezidiwa elimu na mwanamke(au chochote), so am sory.mimi nina sifa zote unazotaka
Ni mkristo
umri miaka 32
Ni Mwana Chadema
Nimejiajiri (nina ofisi zangu zinazoniingizia kipato)
Ila tatizo moja tu elimu yangu darasa la 7.
sijui ntakufaa?
Nakutakia kila la kheri, Usisahau kutoa mrejesho Ili tukupongeze!!
Mbwa dume kwangu inaweza isiwe shida ila hofu yangu ni inferiority complex wanazokuwa nazo wanaume endapo anakuwa amezidiwa elimu na mwanamke(au chochote), so am sory.
Mbwa dume kwangu inaweza isiwe shida ila hofu yangu ni inferiority complex wanazokuwa nazo wanaume endapo anakuwa amezidiwa elimu na mwanamke(au chochote), so am sory.
Kwa hiyo ndo unanitosa kisa elimu?
mbona nimejiajiri na ktk shughuri zangu nimeajiri watu wenye elimu ya juu na nnawalipa mshahara mzuri pengine kuzidi hata mshahara wa mwalimu wa ccm!
Sikusoma kutokana na wazazi kukosa uwezo si unajua tena enzi za ccm elimu mpaka uwe mtoto wa mfanyakazi!
Nikubali jamani na kwa elimu yako unafaa kuwa manager wa miradi yangu!
Dont be sorry,chop his money!
Dont be sorry,chop his money!
nifah am speaking out of experience mamii, hv been there, though watu hutofautiana ila hapana, ona hata tambo zake hapo!Hata mimi sioni sababu ya dada missrena kukukatalia sababu ya hicho kigezo cha elimu.
Ila na wewe kamanda mwenzangu sio walewale wanaokosa amani kisa mke kakuzidi elimu?
Je elimu yake haitokuwa tatizo kwako?
Hebu jieleze vizuri nikupiganie kaka yangu umvute wifi msomi ndani tuicheze harusi sie.
Huku Lowassa anaapishwa huku tunaicheza harusi kwa raha zetu.
nifah am speaking out of experience mamii, hv been there, though watu hutofautiana ila hapana, ona hata tambo zake hapo!