habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza;
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28, mkristu,mweusi kwa rangi(chocolate), elimu yangu ni ya ngazi ya shahada, ni muajiriwa serikalini.
ninatafuta mchumba(mwanaume) mwenye umri wa kuanzia miaka 30,mcha Mungu,mkristu, elimu kuanzia shahada kwenda juu, aliyejiajiri au kuajiriwa,muelewa, muaminifu,muwazi na mkweli.
aliye na uhitaji kama mimi na aliye serious pekee ani-pm, tafadhali kama hauko serious just spare me with the trouble please.
Jina lako limeifanya siku yangu iwe muruaa, unajua juzikati nilikuwa Mkoani Lindi kule nako nilikutana na shule yenye jina kama hilo basi limenikumbusha kitu fulani.Unantia mashaka mtafuta mchumba, kwa ubabe huo, labdaa utampata gwajima, ila mm Mbasha wacha nijiweke pembeni!
Jina lako limeifanya siku yangu iwe muruaa, unajua juzikati nilikuwa Mkoani Lindi kule nako nilikutana na shule yenye jina kama hilo basi limenikumbusha kitu fulani.
mama wachumba hawapatikani huku jf,,,,,,kwani mtaani kwenu mnaishi wanawake watupu?
Unantia mashaka mtafuta mchumba, kwa ubabe huo, labdaa utampata gwajima, ila mm Mbasha wacha nijiweke pembeni!
umu jf hamna demu kiukwelikwani junior waliopo jf wanatoka sayari gani? if you believe so its okey ila i dont.
umu jf hamna mchumba kiukwelikwani junior waliopo jf wanatoka sayari gani? if you believe so its okey ila i dont.
umu jf hamna demu kiukweli
umu jf hamna mchumba kiukweli
according to you eti? its okey siwezi jua kwanini unasema hivyo ila mimi siamini ktk hilo.
according to you eti? its okey siwezi jua kwanini unasema hivyo ila mimi siamini ktk hilo.
mama wachumba hawapatikani huku jf,,,,,,kwani mtaani kwenu mnaishi wanawake watupu?
Watu ka nyie ndo hua mnaaribu mitandao ya kijamii,....hamna uelewa wa kutosha........kama wewe unataka kuoa mtaani kwako humu umefata nn,......alafu unajiita recture,.....
unaweza kunithibitishiaje kuwa huamini ktk hilo....