natafuta mchumba,mim ni bint wa miaka 29,ni mnene,natafuta mume wa kabila lolote,kwa aliye tayar kuwa baba wa watoto wangu.
wewe ni mnene, bonge, tinginya, pipa?
inaonekana achagui wala habagui wewe jitose tuweka vigezo kwanza:
Kama dini, urefu, kazi, rangi ya ngozi, na mengineyo...!!!!
uko tayari kuwa mke wa pili
kaka angu anatafuta sema hayuko jf
Mnene bila picha, tutaaminije. Weka picha tuone kama inawezekana
natafuta mchumba,mim ni bint wa miaka 29,ni mnene,natafuta mume wa kabila lolote,kwa aliye tayar kuwa baba wa watoto wangu.
Ndio mkuu aweke picha, inawezekana kweli ni mnene lakini sisi tutaaminije??
Ndo ivo mkuu, kama mi napenda nipate mnene, ila hadi nione picha. Hivi hivi ni sawa na kuona umati kwa magufuli umejaa hafu kila mtu anapiga vidole viwili.