Natafuta Mchumba

Natafuta Mchumba

BURTON JNR

Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
60
Reaction score
15
Ni mwanaume nina 26 yrs. Ninakazi yangu na maisha ya maana kabisa. Nina elimu ya juu sana nipo Morogoro nahitaji mchumba wa kuoa. Tabia haijalishi nitairekebisha mwenyewe nipo vizuri. Umri usizidi miaka 26 hata kama ana mtoto poa tu.

Namba yangu ni.Ukiwa siriazi iombe nitakutumia
 
Hujasema wewe dini gani nahis ni muhimu
 
Ni mwanaume nna 26 yrs.NINAKAZI YANGU NA MAISHA YA MAANA KABISA. NNA ELIMU YA JUU SANA.NPO MOROGORO NAHITAJI MCHUMBA WA KUOA. TABIA HAIJALISHI NTAIREKEBISHA MWENYEWE NIPO VIZURI. UMRI USIZIDI MIAKA 26 HATA KAMA ANA MTOTO POA TU. NAMBA YANGU NI.... UKIWA SIRIAZI IOMBE NTAKUTUMIA

unamtafutia humuhumu.....kama unaweza kumpata mwanamke wa kuoa humu kwa nini usiende tu barabarani usiku kuibua changudoa mmoja akaoa?
 
inaonseha siku hizi wachumba wapo adimu mno.
Kwanza muombe mungu akujaanliye wa maana.Jinsi unapojinadi kama wewe wa maana,
 
Hebuu...Miaka 26,
-Maisha ya Maana kabisa: Ni yapi?
-Elimu ya juu sana: ni ipi?
 
unamtafutia humuhumu.....kama unaweza kumpata mwanamke wa kuoa humu kwa nini usiende tu barabarani usiku kuibua changudoa mmoja akaoa?
hilo nalo neno.. huyu atakuwa domo zege tu hakuna kitu... yaani harakati zako za kupata maisha ya maana sana na elimu ya juu sana,,, kweli umeshindwa kuona wanawake wazuri????
 
unamtafutia humuhumu.....kama unaweza kumpata mwanamke wa kuoa humu kwa nini usiende tu barabarani usiku kuibua changudoa mmoja akaoa?

angeenda barabarani mngesema akatafute mtandaoni....
acheni hizo bana ye ndio akili yake imemtuma hivyo na si kwamba humu hakuna wife materials... lazima wapo
 
Msiweweseke mimi ndie najua nilivyo. Najua ningesema nasoma PHD nna 26 na nipo kazini mngeanza kubishana. Hv v2 haviwezekani kwa Tanzania tu ila ukitoka nje kdg everythng is possible. Kama mke unaweza mpata hata msibani ijekuwa JF. I dont need your attitude because I have my own.
 
Mkuu piga nyeto tu, madamu wamepotea sikuhizi.
 
Katika falsafa za Elimu kuna watu wa aina 3. Gold, silver and stone. Likewise hutumika kutofautisha uwezo wa akili kwa wanafunzi.
Gold> hata bila mwl. Anaweza kujifunza akaelewa vzr.
Silver> anahtaji msaada kidogo wa mwl ili aelewe.
Stoneman>huyu uwepo wa mwl haumsaidii kwa sababu hata ukitoa mifano umevua nguo hakuelewi kabisaaaaa.
Basi naomba na mimi mnielewe staki mwalimu naelewa pekeangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom