kalikalanje
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 227
- 285
Mengi yatajulikana baadae ila kiufupi tu natafuta mwanamke mwenye maadili. Nitakuwa 50 yrs old December hii but mama atafutwae awe na umri kuanzia 30 hadi hapo kwangu ila ningependelea awe kati ya 30 - 40.
Naishi UK ni raia nina kazi ya kudumu na siyo ya box kama wengi wasemavyo huko. Anayependa tafadhali aache contact zake hapa. Nasisitiza kuwa huu ni mwanzo tu siko desperate hivyo tuende polepole.
Naishi UK ni raia nina kazi ya kudumu na siyo ya box kama wengi wasemavyo huko. Anayependa tafadhali aache contact zake hapa. Nasisitiza kuwa huu ni mwanzo tu siko desperate hivyo tuende polepole.