Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Hvi ujana wenu huwa mnautumia mkiwa jela au vipi,nilitegemea vitoto vya miaka 20 kurudi chini ndo vije kutafuta wenza humu,sasa na nyie vikongwe bado mnatafuta tu.

Mimi nilifikiri hili Jukwaa litahusu zaidi hao unaowita vikongwe kwani uwanja wao ni finyu. Sasa wenye Nyanja pana ndio wengi wanakimbilia humu zaii! Kifupi mtazamo wangu ni kinyume na wa kwako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom