Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Yan umemponza hadi kaka yako nakuambia
Ndio...
Mama weeee usifanye hivyo mie nilikuwa natania tu......
Yan umemponza hadi kaka yako nakuambia
Ndio...
Na kwako pia shemd...umekula sikukuu peke yako sawa bhana
Nimekosa mzigo wa nyuma nifikirie
shemd ulinizimia simu nikawa sikupati
Mmmmhhhhh....uongo ulifika chuo kikuu huu
sio uongo wewe uliniona sina fedha ya kukupeleka outing ya nguvu
Aah wapi mi hata ungeninunulia Azam cola roho yangu kwatuu..
mmmmh wewe wa kujishusha hivi au unazuga tu
Aah wapi mi hata ungeninunulia Azam cola roho yangu kwatuu..
Hahahaa shemd huamini au..??
Koh!koh!koh........
kuamini ngumu sana. kutoka jack daniels mpaka azam cola.... no no no shemd
shemd Khantwe unamuona Honey Faith haamini maneno yako