Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Khantwe, Honey Faith, Makoyo,...mnastahili adhabu. mwenzenu ameleta thread yake hapa ya kutafuta mwenza nyie mmeifanya ya kuelezana habari za sikukuu,, mawifi, mashemeji,, hadi mleta mada ameamua kukimbia..
 
Huyu jamaa atakuwa ametafuta mdada wa singida mwny kamzigo nyuma akakosa sasa anaomba msaada kujua kama wapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom