Natafuta mchumba

Majibu yako yanaweka uchi ubongo wako...hivi nyie si ndo wale wachoma cd mtaani?
 
Punguza jazba kaka
Hapana kaka kuna member mmoja anajiita evelyne salt mshamba kaka, nawaza kula tu kwani kula kitu gani.Akitaka basi akae kwao mbona anakula na kulala .Misosi ipo tu siku hizi ukienda fanya interview nauli na chakula unalipiwa intashindwaje na fungu nimetenga.Najua m.jinga mmoja atauliza shilingi ngapi. ila ndo hivyo.
 
Majibu yako yanaweka uchi ubongo wako...hivi nyie si ndo wale wachoma cd mtaani?
tom bado hukui tuu.ila jina lako linasadifu wasifu wako sikulaum .Bila shaka utakua na tabia za tom and jelly wale katuni pumzika
 
Majibu yako yanaweka uchi ubongo wako...hivi nyie si ndo wale wachoma cd mtaani?
nitafute nikutoe out sita kuja sema hapa jamvini asilani maana we kila mtu mchoma chipsi CD na mengine we njaa inakusumbua
 
Uwiii deadline tar 15 teh teh ngoja niandike Application letter fasta kabla deadline haijafika maana naona miwsho ni kesho!
 
mke mwema anatoka kwa bwana.,unakuja tafuta humu unadhani jf ni "bwana"?? Utapata zombie
 
baba yako angesubiri kwa bwana msingekuwa 8 kwenye familia yenu kaka
 
tena nyinyi 4 na kwa mama yako wa kambo 4 au bwana ametoa mara mbili kwa mdingii wako
 

Kumbe huna elimu ww wacha tukuelimisha unavoona pirika za binaadamu na majini wako hivohivo tofauti ipo ktk uumbaji mungu alivoumba huyu kaumbwa kwa moto huyu udongo vilivobaki vyote unavovijua majini wanafanya humu javini wamo sio tu baharin hata ardhin wapo oooh shauriyako
 
kaka hukui kumbe ndo maana una miaka28 bado umekomaa kwa baba na mama unaogopa kupambana na maisha hahahaaaa, badilika utajuaje kama napenda kuoa jini je?? pevuka kimtazamo bana sio unakaa home subiri chai kapambane
 
hilo jib ni kwa sir diresh
 
Kweli wepson mie mshamba sana yaani, dah.....ngoja nijiondokee bhana!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…