Natafuta mchumba.

kiswahili kigumu ..................kakusudia roho haimpigi akiona wazungu kwa hiyo bora tu ajichukulie mbongo mwenziwe!

btw i personally believe kila mtu yuko racist somehow (which some call favouratism) ....tunatofautiana the degree tu.

Of course, kuna ki part cha ubongo bado kipo na traits za reptilia kama alivyosema Obama katika "The View" on the same subject.

Sasa kichekesho ni kuona watu wanakataa ukweli huu na kusema "I am not racist, I just prefer my race". Well, some say that is what racism is all about, playing favorites when it comes to race.

The irony is, if you know and acknowledge that part of this is biological, you are better prepared to combat that reptilian brain if you so chose.

While the one saying "I am not racist, I just prefer my race" will perpetuate racism with no checks.
 
hatuwezi kuepuka ku-play favorates ...........why deny it? hapo hata mimi sipaelewi. Nafikiri tukumbuke though kuwa kinachopingwa ni hiyo favouratism ambayo ikifanyia kwa hali ya juu hubadilishwa jina na kuitwa racism ( maybe racism has a grain of hate involved too)
 
NIMEAMUA KUCHUKUA UAMUZI HUU WA KUANDIKA KTK SITE HII MAANA MAZINGIRA NINAYOISHI SIKUTANI NA WEUSI WENZANGU NA SINA FEELINGS KABISA KWA WAZUNGU(IM NOT A RACIST THOUGH).
.

Wala Vai usifikiri kuwa racist ni kosa. Ni kwa kuwa racist ndipo unapoweza kuona u racist. Mchumba utapata ila kama lazima awe Sweden, najitoa
 
Mmmmh haya kila la heri dada Vai! Mimi sina vigezo vyote hivyo ulivyovitaja.
 
Dada Vai naomba nikushauri kitu najua umri wako unakwenda na unahitaji kuanzisha familia ila naona umeweka masharti magumu sana kwa mtu wa kawaida kuyatimiza suala la kutaka mtu aliye Sweden na mwenye makaratasi si muhimu ktk mapenzi rudi nyumbani utafute mchumba mchunguzane mpendane kisha muoane na mkachague muishi wapi hapa duniani. Usiweke masharti magumu kiasi hicho kuna watu huku TZ wanaweza kuja huko na kurudi bila tatizo kwa hiyo si lazima mtu aishi huko

Tafuta mchumba bila masharti cha muhimu ni mapenzi tu nikupe mfano mdogo nilipokuwa naanza uhusiano na my lovely wife watu walisema mengi tu ya kukatisha tamaa (nilikuwa chuo na sikuwa na uwezo kabisa) lakini baadae nilipata kazi tukaanza kuishi kuanzia maisha yale ya mwanzo mpaka leo tuko juu kinoma ni kwa sababu tu mke wangu hakuweka masharti alichoangalia ni mapenzi tu na mengine yote kuhusu maisha ni matokeo tu

Tafuta mtu mwenye mapenzi ya kweli hivyo vigezo vingine ni vya kidunia sana mtu anaweza ku-qualify na akawa hana mapenzi kwako ukaishia kujuta
 
mungu akutangulie mpendwa,usikatishwe moyo na wachache au wengi waliozoea kuwakosoa wenzao kila wanapotangaza kutafuta wachumba hapa.usife moyo tangaza na ktk mitandao mengine utapata tu ila kuwa makini sana maana mtandaoni kuna wema na wabaya pia.kama ulivyoshauriwa panua wigo wa utafutaji wako.
muombe mungu atakupatie tu haja ya moyo wako usife moyo maana hivi nakwambia juzi nimetoka ktk harusi ya shemeji yangu ambaye amemuoa mchumba wake waliyekutaniana mtandaoni na wanapendana na kuheshimiana kuliko hata wale waliokutaniana sunday school.

Nimefurahi kukuona Cheusimangala hope kila kitu kimeenda kama kilivyopangwa .
 
MIMI NI DADA WA MIAKA 29,MKRISTO,SINGLE,MPOLE NA MREMBO,SIJAWAHI KUOLEWA,SINA MTOTO.

NINATAFUTA MCHUMBA/MWANAUME WA KITANZANIA AISHIYE SWEDEN KWANI NDIKO NA MIMI NINAKOISHI.

Ayaaaaaaaaaaaah hii bahati nimesha ikosa kwa kigezo cha Sweden
 
Wow that's is interesting! Najua wapo ambao mioyo ingekuwa tayari labda hata mimi lakini hicho kigezo cha kuwa lazima uwe unaishi sweeden kinafanya mwilli uwe zaifu hata kulipa jambo uzito. U should bare in mind that " in love distance should not be taken as the barrier" Morever here is not the issue of love at first sight rather than learning to love some one who will have the mentioned criteria! All the best any way
 
Huyu dada inaonekana yuko siriasi. Inaonyesha anataka kenendelea kuishi Sweden ndio maana amelenga Swedeni. Weusi wanaoishi Sweden wana nafasi kubwa ya kumwoa huyu dada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom