E Entertainer Member Joined Jan 23, 2013 Posts 14 Reaction score 0 Mar 5, 2014 #1 Ni Kijana Mrefu Kiasi, Mwenye umbo la kuvutia lililojengwa ni Gym Kidogo mwenye mapenzi ya Kweli 0762575887
Ni Kijana Mrefu Kiasi, Mwenye umbo la kuvutia lililojengwa ni Gym Kidogo mwenye mapenzi ya Kweli 0762575887
stata mzuka JF-Expert Member Joined Nov 25, 2012 Posts 4,834 Reaction score 1,765 Mar 5, 2014 #2 Entertainer said: Ni Kijana Mref Kiasi, Mwenye Umbo La Kuvutia Lililojengwa Ni Gym Kidogo Mwenye Mapenzi Ya Kweli 0762575887 Click to expand... Jinsia gani mkuu? Maana umbo la kuvutia tena? Mambo za Uganda ungekuwa Behind Bar
Entertainer said: Ni Kijana Mref Kiasi, Mwenye Umbo La Kuvutia Lililojengwa Ni Gym Kidogo Mwenye Mapenzi Ya Kweli 0762575887 Click to expand... Jinsia gani mkuu? Maana umbo la kuvutia tena? Mambo za Uganda ungekuwa Behind Bar
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Mar 5, 2014 #3 Entertainer said: Ni Kijana Mref Kiasi, Mwenye Umbo La Kuvutia Lililojengwa Ni Gym Kidogo Mwenye Mapenzi Ya Kweli 0762575887 Click to expand... unadhani hizo ndio sifa kuu za mapenzi ya kweli?
Entertainer said: Ni Kijana Mref Kiasi, Mwenye Umbo La Kuvutia Lililojengwa Ni Gym Kidogo Mwenye Mapenzi Ya Kweli 0762575887 Click to expand... unadhani hizo ndio sifa kuu za mapenzi ya kweli?
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,689 Mar 5, 2014 #4 stata mzuka said: Jinsia gani mkuu? Maana umbo la kuvutia tena? Mambo za Uganda ungekuwa Behind Bar Click to expand... Hahahaaaa stata mzuka mbavu zangu bhana aaaah kwanza mwenzako anatafuta mchuma. Arekebishe hapo
stata mzuka said: Jinsia gani mkuu? Maana umbo la kuvutia tena? Mambo za Uganda ungekuwa Behind Bar Click to expand... Hahahaaaa stata mzuka mbavu zangu bhana aaaah kwanza mwenzako anatafuta mchuma. Arekebishe hapo
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Mar 6, 2014 #5 nadhani ni mchumba.. si mchuma! lugha ya zamani sana hiyo mkuu! nakumbuka taarabu fulani hivi waliimba.. '' achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo!!'' nilikuwa mduchu sana enzi hizo!
nadhani ni mchumba.. si mchuma! lugha ya zamani sana hiyo mkuu! nakumbuka taarabu fulani hivi waliimba.. '' achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo!!'' nilikuwa mduchu sana enzi hizo!
Napoleone JF-Expert Member Joined Apr 11, 2012 Posts 10,086 Reaction score 16,060 Mar 6, 2014 #6 jamaa anambinu za mwaka 47,unatafta dem wa kujitolea jf,..domo zege au domo chuma
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,461 Reaction score 829,860 Mar 6, 2014 #7 Entertainer said: Ni Kijana Mref Kiasi, Mwenye Umbo La Kuvutia Lililojengwa Ni Gym Kidogo Mwenye Mapenzi Ya Kweli 0762575887 Click to expand... Ninao wa tani moja utakufaa ?
Entertainer said: Ni Kijana Mref Kiasi, Mwenye Umbo La Kuvutia Lililojengwa Ni Gym Kidogo Mwenye Mapenzi Ya Kweli 0762575887 Click to expand... Ninao wa tani moja utakufaa ?
mshana org JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 2,091 Reaction score 619 Mar 6, 2014 #9 Hivi kumbe kunyanyua vyiuma na kujazia pia nisifa tosha za mapenzi ya kweli?
B bunited JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 815 Reaction score 216 Mar 6, 2014 #10 Mi hata cjakuelewa.unatafuta mchuma yani gari au unatafuta mchumba?naomba nijibiwe ili niweze kuchangia
Mi hata cjakuelewa.unatafuta mchuma yani gari au unatafuta mchumba?naomba nijibiwe ili niweze kuchangia
Mom Fay JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 1,059 Reaction score 316 Mar 6, 2014 #11 Entertainer said: Ni Kijana Mref Kiasi, Mwenye Umbo La Kuvutia Lililojengwa Ni Gym Kidogo Mwenye Mapenzi Ya Kweli 0762575887 Click to expand... unatafuta mchuma wa ukubwa gani?!,si kwetu yapo ya kila size...pia hlo umbo la kuvutia,!mh?????!. embu tupia picha
Entertainer said: Ni Kijana Mref Kiasi, Mwenye Umbo La Kuvutia Lililojengwa Ni Gym Kidogo Mwenye Mapenzi Ya Kweli 0762575887 Click to expand... unatafuta mchuma wa ukubwa gani?!,si kwetu yapo ya kila size...pia hlo umbo la kuvutia,!mh?????!. embu tupia picha
mwenemti JF-Expert Member Joined Feb 15, 2014 Posts 309 Reaction score 59 Mar 6, 2014 #12 mimi nahisi chuma chake kimepotea ndio maana anatafuta kingine... shemeji yangu anacho cha kilo 200 ntakufanyia mpango wa kukuombea then ntakupm maana body inaweza ikaalibika..
mimi nahisi chuma chake kimepotea ndio maana anatafuta kingine... shemeji yangu anacho cha kilo 200 ntakufanyia mpango wa kukuombea then ntakupm maana body inaweza ikaalibika..
J.lee JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,672 Reaction score 834 Mar 6, 2014 #13 ha!ha!haa kijana mwenye umbo la kuvutia unatafuta mchuma haya utaupata PM jitahidi.
stata mzuka JF-Expert Member Joined Nov 25, 2012 Posts 4,834 Reaction score 1,765 Mar 7, 2014 #14 Bantu lady said: Hahahaaaa stata mzuka mbavu zangu bhana aaaah kwanza mwenzako anatafuta mchuma. Arekebishe hapo Click to expand... Hahahah na kweli mchuma au siku hizi Bantu lady unapenda 6packs? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bantu lady said: Hahahaaaa stata mzuka mbavu zangu bhana aaaah kwanza mwenzako anatafuta mchuma. Arekebishe hapo Click to expand... Hahahah na kweli mchuma au siku hizi Bantu lady unapenda 6packs?