heri ya xmas wakuu.mm ni mdada ambaye ni mwaminifu na mwenye heshima zangu.nilikuwa na mpenz wangu ambaye tulidumu kwa miaka ming sana ila akaja nisaliti.tangia siku hyo nikawa nawachukia wanaume sana.sasa imefika wakati nataman kuwa na mtu na mungu akipenda aje kuwa mume wangu.mm ni mwanafunz wa IFM nasoma account second year
Nawaogopaga sana wanawake/wasichana wa ifm! Ni bora kwenda kona bar ambako utakutana nao hawa hawa kuliko wa chuo ambaye atajifanya mwaminifu kumbe ni ngoma ya kila mwenye gari pale posta!