Mtumishi 19
Member
- Feb 27, 2026
- 19
- 29
Naona unaita kamati kuu waje kumjaza sumu kijana, atatoka hapa hana hamu!
Kataa ndoa linda maisha yako
Maisha yamebadilika sana! Nikikumbuka usumbufu nilioupata wakati ninawafukuzia wale wachumba wangu wa mwanzo! Halafu wewe unaweka tu tangazo kirahisi kabisa!Ndugu zangu hope mko poa.... mwenzenu natafuta mchumba wa kike๐๐ hapo nimeona niweke sawa maana kuna Vijana wa hovyo humu.
Kama hapa yupo aje pm tuyajenge asante kwa kunisikiliza
Sikuhizi pesa mkononi mguu begani mzee๐Maisha yamebadilika sana! Nikikumbuka usumbufu nilioupata wakati ninawafukuzia wale wachumba wangu wa mwanzo! Halafu wewe unaweka tu tangazo kirahisi kabisa!
Enzi hizo wakubwa zenu tulikuwa tunatongoza chini ya miembe, visimani, mtoni, kupitia barua zenye sticker na pesa ndani yake, kuwavizia wanapotumwa madukani, nk!
Yale maisha ndiyo basi tena!
Ukorofi huo"Selekali" ya jf iweke "shelia" ya kuweka picha......au basi!
Toa maelezo kidogo walau hawa dada zetu washawishike !
Umri
Unaishi wap
๐๐ hii si sawa sasa....Kuna Tom boy Hapa mtaani kwetu, ni wife material.
Vp nikuunganishe nae?
Hiyo ni zamani ya kale๐๐Maisha yamebadilika sana! Nikikumbuka usumbufu nilioupata wakati ninawafukuzia wale wachumba wangu wa mwanzo! Halafu wewe unaweka tu tangazo kirahisi kabisa!
Enzi hizo wakubwa zenu tulikuwa tunatongoza chini ya miembe, visimani, mtoni, kupitia barua zenye sticker na pesa ndani yake, kuwavizia wanapotumwa madukani, nk!
Yale maisha ndiyo basi tena!
Sema hii itakuwa sio poa maana kule zile kamati za siri za wafanya doria la mtandaoni๐๐Toa maelezo kidogo walau hawa dada zetu washawishike !
Umri
Unaishi wapi
Kazi
N. K
Tinder hakuna mchumba huko mkuu! Labda kama unatafuta wateja..Hiyo ni zamani ya kale๐๐
Kwa sasa ni bando lako tu..... na hapa nikikosa mimi huyoooo Tinder inanihusu