Natafuta Mchumba

Natafuta Mchumba

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,958
natafuta mchumba wa kike awe na sifa zifuatazo
■ awe na umri kati ya miaka 22-25
■ awe mwembamba kiasi mwenye shape ya kawaida
■ kabila lolote
■ Dini awe Muislam
■ Elimu kuanzia lasaba hadi form four.
■ Awe anajishughulisha
■ Asiwe na mtoto.
■ asiwe anatumia kilevi

Sifa zangu ni
☆ Mweusi kiasi, mrefu
☆ umbo muscles kiasi sina kitambi
☆ umri wangu miaka 27
☆ Dini muislam
☆ Elimu yangu Bachelor degree {2}
☆ Mfanyabiashara
☆ napendelea michezo hasa mpira wa miguu na mazoezi ya mwili( Physical exercise)
☆ situmii sigara wala kilevi chochote (natumia maji tu)
☆ Sio muongeaji sana

Kama unasifa tajwa hapo juu njoo DM
 
Hongera mdogo wangu lkn ushauri wangu kwako umri tajwa wa mke ni bahati kupata mtu anaye jielewa hivyo usifanye haraka sana hata wewe ukisogea kwenye 29 sio mbaya ili uongeze busara na hekma za kutunza hawa viumbe all the best kijana
 
29 mbali mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom