Natafuta mchumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba

Discussion in 'Love Connect' started by bbukhu, Feb 27, 2012.

 1. b

  bbukhu Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana nilitoa tangazo katika safu hii. Jamani niko sirias. Leo narudia tena.
  Natafuta mchumba mwenye heshima,huruma, uvumilivu, mchapakazi, mweupe wa wastani, mwenye mwilli wenye ukubwa wa wastani kutoka kabila lolote. Awe mkristo. Mimi nina umri wa miaka 28. Nina sifa zifuatazo, mweusi si mweusi, mwembamba wa wastani, urefu wa wastani, ni mwanaharakati, mwandishi wa makala,na ni mwalimu wa sekondari.

  Dada mwenye vigezo hivyo hata kama hana baadhi ya vigezo awasiliane na mimi

  Asanteni wadau.Tushirikiane.
   
 2. engineerm

  engineerm Senior Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nduguyangu humu hata kenge wamo katika msafara wa mamba,so be careful humu utaokota wale walioshindikana tu,na utakuja kujutia uamuzi wako wa kutafuta rafiki wa kike kwa kutumia keyboard.
   
 3. b

  bbukhu Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu kwa ushauri wako. Lakini wakati mwengine demu ambaye amekaa sana bila kuolewa na ikafika wakati anataka kuolewa na bahati nzuri akajitokeza mwanaume lazima atatulia. Maana heshima ya wanaume na wanawake ni kuingia katika ndoa
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  You have my blessing
   
 5. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  mchumba Bongo?
   
 6. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  hana tena?
   
 7. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kumbe wapi eti?
   
 8. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mbona siku hizi kuna uhaba wa wachumba hivi?Mana kila mtu sku izi anapost humu anatafuta mchumba jeez!
   
Loading...