Natafuta mchumba

Na mm nataka mwanamke wa kuoa...umri umeanza kusonga...nipo 31yrs...mwajiliwa govt, sifa awe 20 to 27....awe mweupe mrefu, na mwili...dini yoyote.... normal call 0685292038, send m txt

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Una kazi ya kueleweka?
Sio watoto waanze kumiminika kumbe unaishi maisha ya "kuzuga"
 
Mm hapa
 
Mkuu punguza umri kidogo,taja dini yako nije PM chap kwa haraka

Halafu elimu ya fom fo lazima niambatanishe na cheti?manake mie kiukweli nilimaliza fom fo lakini cheti sikupewa sijui kw

Mkuu punguza umri kidogo,taja dini yako nije PM chap kwa haraka

Halafu elimu ya fom fo lazima niambatanishe na cheti?manake mie kiukweli nilimaliza fom fo lakini cheti sikupewa sijui kwanini
Hivi wewe una nini?? 🤣🤣
 
Mkuu hapo kitaa, church/msikitini hawapo?
 
Mkuu tupe mrejesho ni miaka miwili imepita now upo 38. Wangapi walikuja pm ? Ulitumia kigezo gani kuchagua mmoja ? Bado mpo pamoja ? Umemuoa ?
 
 
Huu mtego tumeushitukia mnatafuta wale wanao wa criticise mpate namba zao za simu muwafuatilie ili muwateke.

Tangu lini mke anatafutwa JF kipindi hiki ambapo nchi ipo katika huzuni???

Kuweni makini msimpe ushirikiano
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…