Natafuta mchumba.

dmhina

New Member
Aug 25, 2011
1
0
Natafuta mchumba awe mweupe mrefu kidogo kwa sababu mimi mfupi mpole awe na upendo sana msafi na mpiganaji. dmhina@hotmail.com
kama uko tayari nicheki kwenye adress iyo apo juu.
 
ushakosa ka we ni mfupi..................tafuta siredi humu inazungumzia wanaumw warefu huh akina dada humu wakadata,jinsia yako 1
 
acha kumuatisha moyo, hata wanawake wanadata na wanaume wafupi muda mwingine.

akina Rashid kawawa, Benja mkapa nk, hao majamaa ni wafupi lakini hawakuwa na wake? Au waliwaoa wanaume?
 
huh.................aaah wale wakifata noti tu mkuu hakuna mapenzi pale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom