Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

mnavopigana mtu anaweza dhani ni serious yaan kama vile mtu na mdogo ake wanavogombana
Joowzey,
Huo ni udikteta muhusika kaweka tangazo ili achague kidemokrasia wewe unataka kufunga mjadala sio fair
Dinna 96, ]Ushampata,

Tafadhali futa huu Uzi ili watu wasije wakajaa wakat tayar nimewahi!

********Thread closed*******
Dah hahaha yaan askar wangu ulivyolalamika kama nakuona mzee hahah sio fair kabisa huu ni uminyaji wa demokrasia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom