inawezekana ww ndie mchumba mwenyewe ila hamjuani tu 😛😛Mkuu vipi ulifanikiwa kupata hicho chumba/ mchumba??
Hahaaa, yawezekana kbs, ngoja aseme kama bado hajapata nimfate huko pm miyeinawezekana ww ndie mchumba mwenyewe ila hamjuani tu 😛😛
Inabidi nikuungie wewe sasa kapata yule huoni kimyaHahaaa, yawezekana kbs, ngoja aseme kama bado hajapata nimfate huko pm miye
Hahaa, hapana mleta Uzi hakua na vigezo vingii, umri tuu, sasa wewe huenda una vyako vingine vileeInabidi nikuungie wewe sasa kapata yule huoni kimya
,Hahaha mm simple tu waifu matirio kama hapo vipo mkuu jipime sasaHahaa, hapana mleta Uzi hakua na vigezo vingii, umri tuu, sasa wewe huenda una vyako vingine vilee![]()
,




Aargh umeona sasa, vigezo vyako, mi namtaka huyu mleta tangazo umri tuu,uwe material usiwe its okay kwakee,wewe sikufai maana kama ni material Mimi ni ile material fakeHahaha mm simple tu waifu matirio kama hapo vipo mkuu jipime sasa![]()

Hahahha haya mkuu umeruka viunziAargh umeona sasa, vigezo vyako, mi namtaka huyu mleta tangazo umri tuu,uwe material usiwe its okay kwakee,wewe sikufai maana kama ni material Mimi ni ile material fake![]()
![]()
![]()



Changamkia nafasi hiyo naona bado inakusubiriMkuu vipi ulifanikiwa kupata hicho chumba/ mchumba??
Hahaa ,mleta tangazo hajibuu,sijui kapata duuhChangamkia nafasi hiyo naona bado inakusubiri

Hahahha haya mkuu umeruka viunzi![]()
kweli sijaruka mkuu, sitaki nikudanganye material kumbe siyoo ukajutaaAiseee!! Mwanaume anagomea PM?Hahaa ,mleta tangazo hajibuu,sijui kapata duuh![]()
![]()
No sijamfata pm bana, natania tuuAiseee!! Mwanaume anagomea PM?
Haaaaaaaa... Mleta mada unalala sana! Wahi huku, financial services want to offer sxual servicesNo sijamfata pm bana, natania tuu
Duuh, I'm not offering that kind of service, you Mr Jango vipiiHaaaaaaaa... Mleta mada unalala sana! Wahi huku, financial services want to offer sxual services
.Duuh, I'm not offering that kind of services, you Mr Jango vipii![]()
.

sorry! Lkn nilimaanisha ukishampata si ndo unampa hizo services