lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,444
Habari wanabodi.
Mimi ni kijana wa miaka 26 Mwenye Elimu kwa Ngazi ya Degree, Ndio Kwanza nipo kwenye ajira yangu ya pili.
Najitokeza kutafuta msichana kwa ajili ya uchumba ili tuje kuoana.
Sifa za mwanamke
1. Awe Na Elimu Kuanzia Form 4
2. Umri Kuanzia Miaka 18
3.Asiwe Model sana. Awe na nyama za kushika ( Si Unajua wanaume wa kibantu tunapenda hiyo sifa yani umbo la kibantu )
4. Sichagui kabila wala dini
Note: Kwa Msichana Mwenye sifa na utayari huo aje PM tuweze kuongea zaidi na kujuana zaidi.